WAZIRI BASHE ATEMBELEA MAJENGO YA OFISI YA BODI YA MKONGE
WAZIRI BASHE ATEMBELEA MAJENGO YA OFISI YA BODI YA MKONGE
05 Oct, 2024
08:00:00 - 23:00:00
TANGA
PRO
Waziri wa Kilimo, Mh. Hussein Bashe (katikati), akionyeshwa maeneo mbalimbali ya ofisi za Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) na mwenyeji wake Mkurugenzi Mkuu wa TSB, Saddy Kambona (wa kwanza kulia) wakati akienda kuzindua Kituo Atamizi cha Mkonge BBT Tanga kinachosimamiwa na TSB. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Japhari Kubecha.

Matangazo ya hivi punde