Historia ya Taasisi
Historia ya Taasisi
Bodi ya Mkonge Tanzania ilianzishwa mwaka 1997 kwa Sheria ya Bunge. Sheria hii ni Sheria ya Sekta ya Mkonge namba 2 ya mwaka 1997. Sheria hii ilifuta na kuchukua nafasi ya Sheria ya Sekta ya Mkonge ya mwaka 1973 ambayo wakati huo ilianzisha Mamlaka ya Mkonge Tanzania ambayo ilikuwa ni Shirika la Umma lenye jukumu la kukuza, masoko na kutengeneza sera za tasnia ya mkonge. Mamlaka ya Mkonge Tanzania ilibinafsishwa na kazi zake za kutunga sera hadi sasa zinafanywa na Bodi ya Mkonge Tanzania. .
Matangazo ya hivi punde