Madaraja ya Mkonge

Madaraja makuu ya singa ni:-

1. Grade 1-length, from 90cm upwards, free of defective decortications,

properly brushed, free of tow cutting and dust free whose colour may vary from creamy white to cream.

2. Grade A-length, between 75cm and 90cm upwards, free of defective

decortications, properly brushed, free of tow, cuttings and dust, free of tousled and bunchy ends whose colour may be slightly yellowish.

3. Grade 2-length, between 75cm and 90cm, free of defective

decortications, properly brushed, free of tows, cuttings and dust, free of tousled and bunchy ends whose colour may vary from creamy

white to cream.

4. Daraja la 3L
Urefu wa singa ni sentimeta 90 (futi 3) na kuendelea. Rangi ya singa ni mchanganyiko wa nyeupe na manjano. Singa ni lazima isafishwe na kulainishwa vizuri, isiwe na magome, mafundo, kusokotana na isichanganywe na lapulapu.
5. Daraja la 3 S
Urefu wa singa ni sentimeta 60 (Futi 2) - 89. Rangi ya singa ni mchanganyiko wa nyeupe na manjano. Singa ni lazima isafishwe na kulainishwa vizuri, isiwe na magome, mafundo, kusokotana na isichanganywe na lapulapu.

6. Daraja la UG (au R)
Urefu wa singa ni sentimeta 60 (futi 2) na kuendelea. Rangi ya singa ni ya kufifia na kijanikijani iliyosababishwa na uhaba wa maji wakati wa kusindika,kuchelewa kukauka hususan majira ya mvua au kuchelewa kusindikwa . Singa ni lazima isafishwe na kulainishwa barabara, isiwe na magome, mafundo, kusokotana na isichanganywe na lapulapu.

7. Grade UF-length from 60cm upwards, slightly barky runners and harshness are permissible. Brushed and unbrushed fibre is allowed. Free of dust and undecorticated barks. Colour may be blemished, greenish, yellowish, brownish due to delayed decortication and blackish but not rotten.

8. Grade S.C.W.F – Short Clean white fibre: Length between 45cm and 60cm. Free of defective decortication, properly brushed, free of tow, dust free tousled and bunchy ends colour may vary from creamy white to cream.

9. Daraja La SSUG
Hii ni singa isiyokidhi sifa za daraja la UG, lakini inayoweza kuuzwa hata katika masoko ya nje ya nchi. Urefu wa singa usiwe chini ya sentimeta 60 (60cm=2ft). Rangi ya singa inaweza kuwa ya kimanjano hadi iliyofifia sana na yenye madoadoa mengi. Lakini singa ni lazima iwe imesafishwa na kulainishwa barabara, isiwe na magome ya aina yoyote ile, mafundo, kusokotana, singa iliyooza na isichanganywe na lapulapu.
10. TOW (LAPULAPU)
Hizi ni singa zilizokatika wakati wa kupiga brashi na kutupwa nyuma ya mashine ya kayamba. Rangi yake iwe ya samli nyeupe. Isiwe na magome, mafundo, mavumbi na isichanganywe na vipande vya singa za madaraja mengine.
11. UF (UNSPINNABLE FIBRE OR UNEXPORTABLE FIBRE)
Singa za daraja hili zina urefu usiopungua sentimita 60 na kuendelea na rangi yake huwa ya weusi au kahawia.Singa za daraja hili kwa kawaida hutawaliwa na maganda, mafundo na takataka nyingi na wakati mwingine hutawaliwa na madoadoa mengi na hata kuoza. Hii ni singa ambayo haiwezi kuwekwa kwenye madaraja yaliyotajwa hapo juu.
12. UHDS
Hii ni singa inayozalishwa kienyeji kutokana na zana duni za uchakataji wa majani ya Mkonge. Mfumo huu wa uchakataji ni maarufu zaidi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa kawaida singa inayozalishwa huwa ni ya daraja la chini zaidi ya madaraja yaliyotajwa hapo juu. Sifa ya singa hii ni kuwa na magome, mafundo, takataka nyingi na mara nyingi rangi yake ni mchanganyiko wa manjano iliyofifia na weusi. Urefu ni sentimeta 60 na kuendelea.

13. Chopped fibre-these are short fibres from the hammer mill or any processing machine, length may vary according to specification, free of dust and barks. Color may be as per above grades but should not be dark or rotten.

Taasisi Shirikishi