Tunawatakia Watanzania wote Heri ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano.

26 Apr, 2026

Bodi ya Mkonge Tanzania ( TSB) inawatakia Watanzania wote Heri ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. 

Tuendelee kuuenzi na kuudumisha Muungano wetu ili kujenga Tanzania moja, imara na yenye ustawi kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Taasisi Shirikishi
Hakimiliki ©2026 Bodi ya Mkonge Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.