Bidhaa zipi zinazotengenezwa kwa kutumia Mkonge?

Bidhaa mablimbali zinatengenezwa kwa kutumia nyuzi za mkonge kama; kamba na nyuzi, mikeke na mazulia,  Mikoba na vikapu, Magunia ya kuhifadhia mazao, bao wa kurusha vishale (dartboard), Vitambaa vya kuzuia mmomonyoko wa ardhi (geotextiles)n.k

 

Taasisi Shirikishi
Hakimiliki ©2025 Bodi ya Mkonge Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.