Wapi naweza kupata mbegu za Mkonge?
Wapi naweza kupata mbegu za Mkonge?
Mbegu za mkonge zinapatikana TARI Mlingano au kwa wakulima wengine kupitia vitalu vya miche, na pia kutoka mashamba jirani kwa kupata vikonyo au maotea.








