MHE. BASHE AZINDUA KITUO

05 Oct, 2024 - 06 Oct, 2024
11:40:00 - 14:30:00
TANGA
PRO

Waziri wa Kilimo, Mh. Hussein Bashe (kulia) amezindua Kituo Atamizi cha Mkonge BBT Tanga kinachosimamiwa na Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB).

Kituo hicho kitakuwa kinatoa mafunzo ya ubunifu na uzalishaji wa bidhaa za mkono zitokanazo na Mkonge, utengenezaji wa karatasi na bidhaa nyingine nyingi zikiwamo za ujenzi.

MHE. BASHE AZINDUA KITUO
Taasisi Shirikishi