Bodi ya Mkonge Tanzania ( TSB) tunatoa pongezi za dhati kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bodi ya Mkonge Tanzania ( TSB) tunatoa pongezi za dhati kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
20 Nov, 2025
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Bodi ya Mkonge Tanzania ( TSB) tunatoa pongezi za dhati kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tunatambua mafanikio haya ya kihistoria na tunatoa salamu za heri na mafanikio mema anapoanza safari hii adhimu ya uongozi. TSB inaahidi kushirikiana na Serikali ya Awamu sita katika kuimarisha uzalishaji wa Mkonge, kuongeza thamani ya zao hili na kuboresha masoko ili kuchangia kwa kiasi kikubwa katika ukuaji wa uchumi wa taifa.