Mazoezi ya Michezo viwanja vya Usagara kwa Watumishi wote wa TSB

28 Jan, 2025

Wanamichezo wote wa TSB  wanataarifiwa kuwa mazoezi  ya michezo mbalimbali yatakua yakifanyika kila siku ya Jumatatu,Jumanne na Ijumaa katika viwanja vya Usagara kuanzia saa 9: 30 Alasiri hadi saa 12:00 jioni.

Taasisi Shirikishi