Tangazo la Zabuni ya Uuzaji wa Nyuzi za Mkonge – Mwaka wa Fedha 2025/2026

05 Feb, 2026

Bodi ya Mkonge Tanzania inawatangazia wazabuni wenye sifa kushiriki katika zabuni ya uuzaji wa nyuzi za mkonge kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.

Wazabuni wanaovutiwa wanashauriwa kupata maelezo zaidi kwa kuwasiliana nasi kupitia barua pepe dg@sisalboard.go.tz.

Taasisi Shirikishi
Hakimiliki ©2026 Bodi ya Mkonge Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.